
___________________________________________ Nilimtizama nikaona kabisa, unafiki mkubwa niliamua kumtoa kwangu kwanza ninayangu yamejaa kichwani natakiwa kutafakari, nilimchotea kg 2 tu, bahati nzuli aliona mcheke tu, sukari na mafuta vilikuwa chumbani, hata kitanda hakukiona aliona frig, tv, jiko, meza ya kioo, sofa pia vipenzi sikuwaambia ila adi sofa tena zile za bei mbaya... Nilimpa huo mcheke, " jamani joy ndo kidogo hivi shoga niongeze basi, hee jamani ivi uyu mtu mbamuelewa kweli haaa, Roz kumbuka mwenzio sina mshahara,na hata nikikwama ushasema huwezi nisaidia, apa natakiwa nijibane ili nisijekulala njaa, labda nikukopeshe tuandikushane kabisa, ili ukiisha niijie, nijaona kavuta mdomo nakusema " heee
0 Comments