USINITANGAZE 04. ❤❤

USINITANGAZE 04. ❤❤

ENDELEA............ Boke alikumbuka alivyokuwa akitamani mtoto kuliko hata mambo ya elimu na kunyenyuka. "Nakuja" "Wapi unaenda wewe mtoto" "Hapa tu karibu!" Kalitimua mbio kakimuacha Suzi akikaangalia. "Shauri yake atajijua mwenyewe akiharibiwa huko" Jicho alilirudisha kwenye uroda wa tv na kuendelea kuburudika. Huku Boke akili zake zilimtuma kurudi kwa Onesmo baata tu ya kufunuliwa picha nzima ilivyo, alembea haraka haraka lakini bahati mbaya akapalamia sinia la ndizi lililokuwa limewekwa njiani kwa ajili ya kuuza. "Wewe mtoto njoo hapa!" Muuzaji alimwita Boke kwa hasira na Boke akasogea. "Huoni au!?" "Wewe umekoswa sehemu ya kuweka sinia lako mpaka uweke barabarani tunapopita watu!?" "Wewe

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments