
Nilijirushaa mbelee, khaa sikuamini hakiamungu yaan miguu yangu ilikuwa inanguvu kata nilipo taka kuanguka niliweza kujizuia et mungu wangu hii ninii Nilibaki nashangaaa hichi kitu gani mungu wangu mi naweza kutembea nilisimama wima kwa miguu yangu nikiwa uchi kabisaaa hata sikujali "Alex naweza kutembeaaaa!!!" Nilipiga kelele huku namwambia alex wangu Nilipo mwangalia alikuwa amesimama kimyaa ananitazamaa tu mie yaan ni yule mtu aliepigwa na butwaa kabaki amezubaaa tu "Alex!!!" Nilimuita tena yaani nina furaha walai nina furahaaaaaa Yaan nilikiwa natakani nitoke mbio hapo muda huo huo mpaka nyumbani kwa miguu yangu Jamani mie nina nguvu kabisa sio kwamba et ni
0 Comments