
13 Simulizi za john 0789 824 178 1000 Nilitaka kugonga mlango, nifanye fujo kabisa ili mkewe ajue nadanganywa! Mara nikaskia, “Dada, nashindwa kulala, naota ndoto mbaya.” Alikuwa Zawadi Mdogo, nje ya chumba chao kwenye korido karibu na chumba cha wazazi wao. Nikamudu haraka, nikambeba, mara mamake na babake wakatoka—mama amevaa upande wa kanga, baba kaptula tu, akiwa amevimba mbele. Nilizidi kukeruka, nikamudu mtoto chini, nikaingia chumbani kwangu. Walimchukua, wakaingia naye chumbani kwao. Nilijisikia vibaya, mjinga sana. Nikamtumia ujumbe Neema, hakujibu. Nikampigia, hakupokea. Nikaingia kitandani, nikajikunyata. Mara ujumbe ukaingia: “Bby, usifunge mlango, nakuja.” Ilitoka kwa Scott. Nilijisikia vibaya, nikamtumia: “Achana nami,
0 Comments