SEHEM YA 14 MWANDISHI ::HURU MEDIA Bilionea ndani ya hoteli

SEHEM YA 14    MWANDISHI ::HURU MEDIA  Bilionea ndani ya hoteli

Qassano akamuuliza Vicky ama mumeo ni mkorofi?? Vicky akasema hapana sijaolewa kaka yangu nipo tu nyumbani kwetu.,,, Qassano akasema basi itakuwa busara kama nikikupeleka kwenu!!" Vicky alikataa akasema ataenda mwenyewe tu, Qassano nae akakataa kumuacha aende mwenyewe mwisho aliona ngoja akubali tu kuepusha mazozano Qassano akampigia simu Rahul akamwambia wataonana baadae kuna sehemu anaenda " "Vipi kwa masha hauta enda mana ananipigia sana simu" ""Nitakwenda baada ya kutoka huku" "Kuwa makini Kiongozi wanawake wa huku wamejawa tama sana " Rahul akampa onyo boss wake, Qassano hakujibu alicheka kidogo tu , Akakusanya mizigo ya Vicky akatoa mizigo nje akaiweka ndani ya

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments