
Dereva alikuwa ni alex, aliifata nyuma taratibu Gari ambayo ndani walikuwa juddy na zakia Mwendo ulikuwa mrefu mnoo , tukatoka kabisa nje ya mji , tukaingia sehemu moja wanaita kibaha Baada ya kufika kibaha kwenye tukaingia huko ndani ndani kabisa yaan ndani hukooo Mwisho gari ilisimama baada ya gari ya Kina zakia kuonekana inaingia kwenye moja ya nyumba zipo ndani ndani yaan kijijini huko polini kabisa.. Tulipack pale nje , alex anasema jamani tuingie huko, inno akamwambia tutulie mpaka tupate mwongozo wa zakia . Tulikaa hapo kama lisaa hivi Inno akasema katuma sms anasema tuingie ndani moja kwa moja kwa
0 Comments