NIPE YOTE DADY SEHEMU YA 47

NIPE YOTE DADY SEHEMU YA 47

Nilimfuata na kuingia darasani na kumwambia "bi dada kubali kuwa hupendwi shoga yangu " "Norah naomba uniache maana naona unanitibua " "Aaaa sasa nakutibua kiaje wakati mimi mwenzako nakupa ukweli" "Kwamba mi sijui ?" "Kumbe unajua alafu unajitoa ufahamu ,haya hongera ila kwa maono yangu naona Me" "We koma Meshaaa kama unaona anafaa mpe dada yako Nah si yuko single yule" "Jamani sasa mbona unanuwahi kwani ni nimesema kuwa Mesha anakufaa akuuu " "Kwenda huko najua ndo ulitaka kuongea hivyo " "Haya dada " tuliendelea naratiba zingine kisha mchana tukaenda kupata chakula kwa mara nyingine tena bwana kachumbali akaja kukaa

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments