
.
Nimeandika barua kuelekea Utumishi kuwaombea Mashabiki wote wa Simba likizo ya bila malipo kesho tukae tu home tujadili mpira uliyopigwa leo.
Lakini nitumie nafasi hii kuwaomba radhi wote mliokerwa na kuteseka leo nachoweza kusema Njooni nyote mtesekao na msumbukao na mizigo, yupo Joshua Mutale atawapumzisha😀
Soma zaidi
0 Comments