NIMEMUONJESHA ASALI MAFIA BOSS EP 10

NIMEMUONJESHA ASALI MAFIA BOSS  EP 10

. Zilipita siku tatu, kuko sawa siku ya 4, nikatoka mwenyewe nijaenda kutulia mahali, kumbe nilipo na x wangu nae alikuwa maeneo hayo, ametoka zake kupiga mzigo, akaniona, alimpitisha demu wake kwa halaka ila nikawa nimemuona, nikampuuza nikiamini hataludi, kwasababu yuko na mtu... Lakini pia kulikuwa na kaka mmoja alikuwa ananifuatilia ni miaka sasa, ni mtu poa sana, tatizo tu hana ndevu, kakaa kama sufulia, nae akawa ameniona maeneo yale, hakusita akaja akaomba kukaa, sikumkatalia,kwa sababu tayali nilishafanya maamuzi ya kuachana na D moja kwa moja... Tuliongea sana, akanimbembeleza, nikaona sio mbaya acha nisifuate tamaa zangu, ngoja nimkubalie, huenda ndie

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments