NIMEZAMA* 20πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹

NIMEZAMA* 20πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹

Nilisafisha kile chumba nikapanga vitu vizuri kabisa pakawa Safi..kuchungulia kwenye kabati nikakutana na ruα»“ndo la nguo chafu...khe .. inamaana Lulu alivoondoka mara ya mwisho aliacha nguo chafu kwenye kabati lake ....mmh sikuwa na neno...nilichukua zile nguo nikazama bafuni kuzifua....zilikuwa ni nguo za mtu mzima pamoja na za watoto wakike...bas wakat huo nlikua nmeacha simu yangu chumbani kwangu ...nilipomaliza kufua nikaenda nje kuanika...yaan nilizifulia zile nguo mlemle ndani ya chumba cha Lulu bafuni kwake....nikaenda nje nikaenda chumbani kwangu kuchek simu missed call 16....ninani huyu?...Robby Kuchek upande wa msg zipo 8 ...ny love njoo unipe utulive..mama sweetheart ...achana na Kazi njoo upumzike...yaan

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments