
. Siku moja msichana wangu alinieleza juu ya tangazo la kazi katika kampuni ya uagizaji na usafirishaji iliyokuwa inalipa mara mbili ya mshahara wangu. Nikaomba ruhusa kwa meneja wangu na nikaelekea upesi kwenda katika kampuni hiyo. Wakati nikiwa njiani, gari lililokuwa likiendeshwa kwa mwendo wa kasi na msichana mmoja lilikanyaga miguu yangu(lilinigonga). Kwa furaha niliyokuwa nayo ya kupata hiyo kazi sikutazama pande zote; lengo langu lilikuwa moja tu – nipate hiyo kazi nimfurahishe mpenzi wangu na kutimiza matakwa yake, hasa kwa kuwa alikuwa na mahitaji mengi. Nilipozinduka nilijikuta nipo hospitalini, nikiwa kwenye kitanda. Niliona msichana mrembo amesimama mbele yangu na
0 Comments