MREMBO YATIMA NA KIJANA TAJIRI❣️ SEHEMU YA 01

MREMBO YATIMA NA KIJANA TAJIRI❣️  SEHEMU YA 01

Asubuhi na mapema mimi na mdogo wangu Poppy tulikuwa tunapalangana jikoni kuandaa chakula kwa ajili ya wateja.. Tunamiliki kimgahawa kidogo tulichozungushia mabati mabovu hicho ndo kinatumatia kula na ada.. Wazazi weshafariki waliniacha nikiwa chuo mwaka wa kwanza na mdogo wangu poppy alikuwa ndo yuko form two.. Kwetu tumezaliwa wawili tu mimi Bella pamoja na poppy mdogo wangu.. Wazazi baada ya kufariki kitu pekee walichotuachia ni kijumba kidogo tulichokuwa tunaishi.. Hatukuwa na uwezo mkubwa kimaisha tulikuwa tunaishi kawaida na wazazi wetu walikuwa wafanya vibarua vya hapa na pale hivo ndo vilikuwa vinatulisha na kutusomesha.. Mimi na poppy tulishauriana kila likizo tuwe

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments