
Usiku hakuna alielala wotee tulikuwa macho tunasubiri huo muda ufike wa mambo kufanyika .. Tulikuwa wote kwenye chumba kimoja huwezi amini hakuna aliezungumza kitu yaan wote tulikuwa kimyaaa , nahisi kila mtu alikuwa na lake . Nilikuwa naona kama miujiza yaani baada ya leo mie natembea naongea nacheka nitaweza kubeba watoto wangu nitamkumbatia Alex wangu afu tutafunga ndoaaa mungu wanguuu naona hata siwezi kusubiri zaidiii ,nilikuwa na hamu mnooo mnooo.. Muda ulifika bwana , yule mzee alikuja chumbani kwetu akasema muda tayari njoeni wote anaemtoa mgonjwa aje ki nyume nyuma asiangalie anapo enda mpaka nitakapo mwambia Inno ndo alishika ki
0 Comments