ONE NIGHT ONE MISTAKE* *11 *_______________________________________* Meena aliwapigia simu wazazi wake na kuwaelezea hali ya Salsa hizo habari

ONE NIGHT ONE MISTAKE* *11 *_______________________________________*  Meena aliwapigia simu wazazi wake na kuwaelezea hali ya Salsa hizo habari

ziliwashitua sana na kuwaumiza lakini haikuwa na jinsi walimsamehe lakini walimtaka binti yao arudi nyumbani pindi atakapokaribia kujifungua. Meena alikaa na Salsa kwa siku chache kwaajili ya kumuangalia. Ndani ya moyo wa Romex haki haikuwa shwari hata kidogo hasa pindi alipomuona Salsa alitamani hata kwenda kumsemesha. Kuna siku Romex alikuwa amekaa sehemu. akawa anamuangalia sana Salsa Lilian alitambua hilo. Romex unajua nashindwa kukuelewa, hivi kwanini unaniangalia sana yule mjamzito? Romex alimuangalia kisha akamuuliza "Una hisi wivu au? "Wewe ni mchumba wangu sasa na sifikiri sijul chochote kuhusu wewe na yule mfanyakazi wako. "Unajua nini? "Alikuwa mwanamke wako. Romex alicheka kidogo

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments