
Siku zilienda Lilian alikuwa akienda kazini kwa Romex mara kwa mara, kuna muda walikuwa wakitoka pamoja kwenda lunch. Hilo swala lilianza kumtafuna Salsa aliona hathaminiwi muda mwingi wa Romex aliutumia akiwa na Lilian. Siku moja Salsa alikuwa amekaa sehemu ajaeaxilia wafanyakazi wenzie wakiongea. Nasikia yule mrembo anayetoka na boss ndio mievwaue mtarajiwa. "Hata mimi nasikia hivyo lakini vipi kuhusu huyu mjamzito wa boss? *Hapo sasa ndio sijui inakuwaje. "Lakini inasemekana mimba ya siasa sio mimba ya boss, inawezekana ni mimba ya mtu wa karibu na boss. Yake maongezi yalimfanya salsa atokwe na machozi. Siku moja Salsa alikuwa anatoka ofisini kwake
0 Comments