MREMBO YATIMA NA KIJANA TAJIRI❣️* *26* *SEASON TWO* *________* *SEHEMU YA 26* Hahahaa nilikuwa naenjoy tu vile Hemed anavonibembelezašŸ˜šŸ˜ alafu alikuwa very romantic..

MREMBO YATIMA NA KIJANA TAJIRI❣️* *26* *SEASON TWO* *________*  *SEHEMU YA 26*  Hahahaa nilikuwa naenjoy tu vile Hemed anavonibembelezašŸ˜šŸ˜ alafu alikuwa very romantic..

NilimsamehešŸ™ˆšŸ™ˆalinikiss tena then akaniuliza kama niko tayari kuvishwa Pete na yeye au na huyo mzungu alonipeleka five star😰 Nilimwambia niko tayari kuvishwa Pete na yeye🄹🄹 kwanini unanicheat??? Aliniuliza lile lile swali lililosababisha anizibue kibao😓😓.. Nilikaa kimya alafu ndo nikazidi kumuumiza🄹🄹 Bella nijibu nachokuuliza kwanini unanicheat?? Unahisi mimi sina uwezo wa kukupeleka five star??. Niliendelea kukaa kimya Hemed alichukia sana aliamini kweli nimemchit lakini si kweli mi sikufanya chochote🄺🄺🄺... Tulizozana huko chumbani badae Hemed aliinuka akaelekea jikoni alirudi na maji moto akaniomba anikande pale shavuni maana palishaanza kuwa peusi🄹🄹 Alinikanda taratibu baada ya hapo kuna kidawa alinipaka cha kuchua alipomaliza akaniomba

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments