
⚠️ Onyo: Hadithi hii ni kwa watu wazima tu (18+) KAYLA sehemy ya 5 Mwandishi; maramoja the great Simulizi za john 0789 824 178 1000 Basi prepo ikaisha tukaludi dom kulala basi ikakata kama week peter ananikwepa kinona nikipita atasimama zake mbali kabisa na mm nkasema nyooo basi nkawa busy na masomo yangu apo bado riz linanitaka mno namkataa namchamba ila akomi basi tukafanya mitiani ya mid teerm mwez wa tisa vzur ila uwa atulud likizo mpka likizo kubwa basi matokea yametoka nipo dom navaa kaja ney aannambia shogaaa nkasema nn aakasema yani kalibia wanafunzi wote tumefeli tumefanya vibaya walimu
0 Comments