
"Hiki ndo chumba changu ?" Aliuliza Winnie akiwa haamini kama anaweza kutumia chumba kikubwa na kizuri kama kile " Ndiyo miss Winnie hiki ndo chumba chako kwanzia leo nilitaka kufanya maandalizi mazuri zaidi sikutegemea kama utakuja mapema kama hukupenda kitu chochote au Kuna kitu unataka tuongeze niambie tu mimi " aliongea Mr Charles kwa heshima ingawa alikuwa na umri sawa na baba yake na Winnie Mr Patrick " Hata usijali Mr Charles Yani kila kitu kipo vizuri sana na nimependa " aliongea Winnie huku anatembea kila Kona kuangalia mpangilio wa chumba " Asante sana miss Winnie kwa kupenda huduma zetu
0 Comments