SEHEMU YA KUMI NA TANO* A STRANGER WHO STOLE HIS HEART ❤️

SEHEMU YA KUMI NA TANO* A STRANGER WHO STOLE HIS HEART ❤️

"Huwezi kuondoka namna hiyo ,nakukumbusha unatakiwa kutimiza ahadi yako " alisema Winnie " Ahadi ipi tena na tumeshacheza game pamoja hii inamaanisha hakuna ahadi nyingine yoyote " aliongea Elian huku amekunja sura " Oh kweli wewe na u CEO wako wote huo kumbe kichwa Nazi " aliongea Winnie huku anacheka " Winnie tuheshimiane unaweza kuniita mimi majina ya ajabu " alifoka Elian " Ndiyo wewe kichwa Nazi ulikubali wewe mwenyewe ukiwa na akili zako timamu na bila kulazimishwa Sasa iweje saizi unikane bila hata aibu " aliongea Winnie bila uoga hata kidogo Elian alimuangalia Winnie kwa hasira . " Wewe

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments