PAKA WA MAMA KIZIBO. SEHEMU YA KWANZA

PAKA WA MAMA KIZIBO.  SEHEMU YA KWANZA

. Kunako majira ya saa tano na nusu za usiku wakati kijana Bakari Msukanondo anajiandaa kwenda chumbani kulala simu yake iliita. Alipoiangalia akakuta inapigwa na bosi wake mkurugenzi wa Kiwanda cha kusindika mafuta ya karanga bwana Arsenal Patel Haikuwa kawaida ya bosi huyu kumpigia simu baada ya saa za kazi; hivyo moyo ulimdunda Bakari na kuhisi kuwa lazima simu hiyo itakuwa na walakini. Huku mikono ikimtetemeka Bakari aliinua simu na kuipokea. " Haloo Boss shikamoo" "Marahaba. Samahani kwa kukustua usiku. Nilichotaka kukufahamisha ni kuwa Mkurugenzi wetu wa Bodi atasafiri Jumatatu kwa ndege ya saa sita mchana kwenda Uturuki hivyo hakikisha

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments