
Usiku mzima nililala nikiwa namuwaza mubaba nilipitiwa usingizi nikaja shtuka asubuhi nikaamka nikatandika kitanda Kisha nikaenda kujiandaa haraka kwa ajili ya kuwahi chuoni Sasa bwana ile nimetoka tu nje nikakutana na mubaba😁😁😁 Akaomba anipe lift mi sawa nikapanda kwenye gari Tulianza safari alikuwa anaendesha huku ananiuliza samahani naitwa Henry unaitwa nani Nilimjibu naitwa Lisa Akaniuliza unaenda wapi Nilimjibu naenda chuo Akaniuliza unasoma chuo gani Nilimjibu nasoma chuo cha mwalim nyerere Akanijibu ok safi sana wewe nimtoto wangapi kuzaliwa kwenu Nilimjibu wamwisho Henry akaniuliza unandugu wangapi Nilimjibu kuwa ninakaka mmoja na dada mmoja wote wanafanya kazi sasa Nikamuuliza vipi wewe unawatoto
0 Comments