
Nilishtuliwa na sim ilikuwa inaita kutizama muda tayari saa kumi na moja na nusu Na aliekuwa anapiga alikuwa daddy Henry nikaipokea Haloo daddy Henry nimesha amka tayari Alijibu safi haya jiandae na uwahi basi sasa Nilimjibu ok naenda kuoga chapu kwa haraka Henry alicheka na kuniambia vizuri ngoja nikate sim nisiku cheleweshe Niliingia bafuni na kuoga kisha nikatoka na kuvaa na baada ya hapo nilibeba kibegi changu kidogo mgongoni niliweka nguo na laptop yangu Kisha nilibeba kichupa changu cha juice na niliondoka huku nikinywa napenda sana juice inayo tengenezwa na mamaangu Nilichukuwa boda sikuwaamsha hata mama nikaondoka mbio na boda
0 Comments