SIKU YA KWANZA EPSODE 1

SIKU YA KWANZA  EPSODE 1

Baada ya kuhitimu masomo yangu ya kidato cha nne nilifanikiwa kufaulu mitihani yangu na kufanikiwa kujiunga Advanced level. Baada ya kufika shuleni nilipokelewa na walimu na kisha nikakabidhiwa kiongozi ili anioneshe sehemu ya kulala. Tulifika bwenini na kupolewa na wenzangu ndipo nilipopata rafiki wangu wa kudumu. Miongoni mwa watu walionipokea ni Mariam na Upendo. Shoga zangu hawa kwakeli walinisaidia mengi na wakati mwingine nikawa nashindwa nini chakuwalipa. Mariam na upendo walipendwa sana na kila mtu kwa tabia yao nzuri hata muonekano wao. Baada ya kufika shule nilikuwa na aibu hasa kuongea na wanafunzi wa kiume pamoja na walimu kwani sikuzoea

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments