
Alinishika mkono akanitizama sana, akaniludisha kitandani, akachukua na begi akaliludisha, kisha akanisogerea na kusema, " Amina mke wangu naomba tulale bado nina uchovu, naomba uache usumbufu nilishahisi unaweza kukimbia, kumbuka mmeo nakujua vizuri sana, niliandaa mazingira mazuri kwa ajili ya hilo, hauwezi kufungua mlango kwa kutumia funguo njoo ulale kichwa kitulie, unakiumiza sana.. Alinisogeza kalibu yake nakunilaza uku natoa tu machozi alinikumbatia nakuomba nilale kukuche muda niliolala ni mdogo sana, sikuwa nataka ata kuongea nae, sijui ata nilipitiwa usingizi saa ngap,nimekuja kushtuka, tayari saa 5 asubuhi,nakuta Amir yuko kifua wazi amekaa anachezea simu, pale pale nikawaza tu atakuwa anachart na
0 Comments