SIKUJUA LECTURER NI MJEDA* *SSEHEMUYA 4 mpk 6

SIKUJUA LECTURER NI MJEDA*  *SSEHEMUYA   4 mpk 6

"Bora ingekuwa chuki unaweza sema kuna siku nitamsamehe ila ukweli wa mungu nataman nimloge atoke busha, ashindwe kuvaa suruali, kwanza anaonekana ni kibamia yule, nataman akonde kama muathirika au hata apate kansa ya korodani, na ikiwezekana hivyo vichwa viwili ambavyo anavyo vibadilishane kazi, cha chini kiwe kinawaza, na cha juu kiwe kinapeleka moto, yaan mpaka achanganyikiwe, ningekuwa na mganga ningemloga awe hata mwanamke apitie heka heka za kupelekewa moto, maana namuona kama pisi kali, sidhan kama mwanaume kamili anaweza kuwa kama yeye,maana kwa ninavyojua kuwa mwanaume kamili, hawez kukatisha ndoto ya bint maskin kama mimi, nikawa nasema na yule mwanaume

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments