
OFAAA YA LEO NI 500 TU WHATSAP 0755090082 Alikubari, nilifunga nikaingia nae kwemye gari, lakini naogopa mno, alianza kulia nikashangaa kulikoni, aliniambia " Amina naomba nikuombe tu jambo moja muangarie sana Amir anashida sana na upendo kuliko chochote kile, sio penda penda ni mtu wa wivu tu, lakini anasamee sana, Amir anapenda watoto, mzalie usimkatiri kama mimi, nilikuwa nashangaa tu, Amina nakuomba uniahidi hautakaa umuumize Amir kama mimi, Nikamwambia Asha mbona unanichanganya kwani kuna tatizo kati yenu? Niambie tujue tunafanyaje unanichanganya nilijikuta naanza kulia,alicheka uku machozi yanamtoka, kweli Amir hajakosea kukuchagua, unamoyo mpana sana sikutegemea kama unaweza kulia kwa ajili
0 Comments