
kuwa sawa, nikawa tena siimbi wala sikae kifuani kwake usiku, nikataka kuchukua hatua ya pili, ila kwenye kelele ni mpaka niwe kamchombeza chombeza tofauti na hapo hatoboi, nikaona kwanza nipambane na na kulala kwanza akiweza kulala mbali na mimi bila dawa tutakuwa tumepiga hatua kubwa sana... Siku moja nikamuomba alale nyuma yang utu bila kuiona sura yangu alafu anikumbatie kwa nyuma nikaona kweli akalala, nikaona kumbe akinishika analala vizuri tu, baada ya hapo nikamuomba nimgeuzie mgongo alafu alale... Siku ya kwanza ilikuwa ngumu kidogo, akawa anahangaika nikawa namuambia kwa sauti ya utulivu kuwa afocus, ingawa ni kwa tabu sana ila
0 Comments