POOR RICHMAN* (Alijifanya amefirisika na Kuwa Masikini ili kuwajua wanafiki kwenye Maisha Yake) Sehemu Ya 4

POOR RICHMAN*  (Alijifanya amefirisika na Kuwa Masikini ili kuwajua wanafiki kwenye Maisha Yake)  Sehemu Ya 4

Jovin akiwa kajiinamia anamwaga chozi alishituliwa na Maji machafu ambayo alimwagiwa mwilini mwake. "Pumbavu ondoka haraka hapa Kwangu!! Baba Yasinta ebu muondoe huyu kenge wako kabla sijafanya kitu kibaya!" Baada Ya kumumwagia Maji machafu, Mama Damian aliendelea kufoka!. Muda huo huo Bwana Damian alifika pale nyumbani, kitu kilicho muuma zaidi Jovin ni Kwamba Damian alikuwa kaambatana na Nuru!. Yaani Bila aibu walikuwa wameshikana viuno pasina kumhofia Jovin. Kumbuka kipindi hicho Damian Yeye Bado alikuwa anafanya kazi kwenye kampuni ambayo ilikuwa inasadika kwa kipindi hicho inamilikiwa na Mr Tahir!. Basi Jovin Roho ikiwa inamuuma aliamua kuondoka na kurudi nyumbani, kama kawaida

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments