POOR RICHMAN* (Alijifanya amefirisika na Kuwa Masikini ili kuwajua wanafiki kwenye Maisha Sehemu Ya 9

POOR RICHMAN* (Alijifanya amefirisika na Kuwa Masikini ili kuwajua wanafiki kwenye Maisha   Sehemu Ya 9

Harakati za kumuwinda mrembo huyo na mtoto pekee Wa Mr Tamir zilianza Huku Jovin akishirikiana vyema na keivo!. Jovin aliona kuna ugumu kidogo kuifanya ile kazi wawili tu Yeye na Keivo kitu alicho kifanya ni kutafuta baadhi ya vijana walala hoi Wa mtaani aliwapa visenti kidogo na kazi yao ilikuwa ni kumpleleza Binti Huyo Wa Tajiri kila anapo enda!. Mwezi Mmoja ulipita Huku Bado yule Binti akiwa anafuatiliwa Muno na vibaraka Wa Jovin, na kipindi hicho Jovin na keivo walikuwa wamehama pale walipo kuwa wanakaaa na kuhamia sehemu Nyingine. Siku Hiyo mida ya Jioni wakiwa magetoni walipokea ujumbe!. "Leo kwenye

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments