Dunia ikasema " ukipata mwanamke anayekuangalia hivyo , usiogope funga naye ndoa "..

Dunia ikasema " ukipata mwanamke anayekuangalia hivyo , usiogope funga naye ndoa "..

Itazame hiyo picha, huyo binti anaitwa Rose Armitage, angalia hilo jicho la mahaba, huyo anayetazamwa anaitwa Chris Washington... Baada ya penzi lao kunoga , binti alimuomba mwamba waende nyumbani kwa wazazi wake binti.. Binti aliona vibaya kuwa na mtu alafu wazazi hawajui , mwamba alikubali maana mtoto aliutaka mwenyewe... Chris aliondoka na binti hadi nyumbani kwao binti , Chris aliikuta familia ya binti ni bora na yenye upendo mkubwa. Lakini kumbe kuanzia mchumba wake Rose , baba yake Rose ,mama yake Rose na kaka yake Rose ni watekaji nyara, na wana tabia ya kuteka watu weusi ... Plan inakuwa ya

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments