SEHEM YA 13 Bilionea ndani ya hoteli

SEHEM YA 13 Bilionea ndani ya hoteli

Rahul akatoka haraka kuelekea alipo Mr Alberto , Masaa matatu masha ndio alikuwa anaachiwa kwenye mikono ya Boazi anahema kama ametoka kwenye mashindano ya mbio miguu inamtetemeka Mbio alizokimbizwa hazikuwa zile alozoea Akasimama kwenda ndani miguu ikakataa akajikuta anarudi tena kwenye kochi Boazi akamtuliza avute pumzi , hapo ilikuwa ni kimya kimyaa... Rahul akafika hospital ,Mr Alberto alikuwa akimsubiri nje "Daah utanifanya nichanganyikiwe ujuee!!" Rahul akalalamika kiutani "Bora wewe aisee mie ndo nilikuwa na data " "Ilikuwaje??" Mr Alberto akamsimulia jinsi alivyokutana na hiyo ajali "Twende basi nikamuone" "Amelala kesho utamuona " Rahul alikuwa anafahamika hapa kwamba boss wao hakuna

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments