
_Tulipo ishia_ ππ¦ " kuniondolea furaha yote niliyonayo juu yako" alisema Flora. *Endelea sasa* ππ¦ Basi Japhet akaamua kunyamaza na baada ya hapo akanyanyuka kwenye kochi na sahani yake ya matunda mkononi akamuaga Shemeji yake. "Sasa Shemeji ngoja mimi niende chumbani kulala tutaonana kesho Mungu akipenda" alisema Japhet. Flora akacheka sana halafu akasema: "Tutaonana kesho au baadae? nitakuja huko kwako muda sio mrefu sana nataka unisugue zaidi ya Jana unitoe genye zote" alisema Flora. Hapo Japhet hakuweza kusema kitu chochote akaondoka na kuelekea chumbani kwake huku nyuma akimuacha Shemeji yake huyo (Flora) akimuangalia kwa macho ya matamanio. "Haki ya nani
0 Comments