STORY YA SALMA WA MTAA WA SABA 🥥🥥 Sehemu ya Kwanza ( 1 )

STORY YA SALMA WA MTAA WA SABA 🥥🥥 Sehemu ya Kwanza  (  1  )

@Kila Mtu 🥥🥥🥥🥥🥥🥥🥥🥥🥥🥥🥥🥥🥥🥥🥥🥥 Ukisikia mtaa wa saba ni mtaa wa saba kweli ni mtaa iliyochangamka matukio ya kila aina yanapatikana kwenye huo mtaa. Ukipita huku unakuta na wamama wanasutana au vigodoro, ulitokezea kule unakuta watoto wakicheza gololi , kuikata kushoto wavuta bangi na vibaka yani kwenye huo mtaa hakuna mtu mzembe mzembe kwanza wenyeji wote wanajuana akija mgeni anajulikana wanaanza kuulizana huyu katoka wapi? Au kaka kwa nani? Haya sasa tuanze... Ilikuwa majira ya saa kumi na mbili jioni kijana Fariss alikuwa anatoka kazini , kwenye gari yake aina ya range Rover velar nyeusi. Kwenye gari alikuwa na rafiki yake

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments