*SEHEMU YA SITA* SALMA MTAA WA SABA ❣️

*SEHEMU YA SITA* SALMA MTAA WA SABA ❣️

Baada ya kupeana namba za simu waliendelea kuwasiliana mara kwa mara hata kutembeleana. Taratibu walijikuta wanaanzisha uwiano rasmi na kuwa wapenzi . Fariss alishikwa haswa na penzi la Salma baada ya kupandishwa asali alitamani kuchunga mzinga. Mara kwa mara Fariss alikuwa akizunguka mitaa ya mtaa wa saba . Kuna siku alipiga saba simu ya Salma lakini simu ilikuwa haipokelewi. " Kwanini zapikei simu yangu, atakuwa wapi mpaka anashindwa kupokea simu yangu . Fariss alijiuliza maswali kama kwamba ana wivu. Aliendelea kupiga tena na tena lakini haikupokelewa aliamua kufunga safari kuelekea mtaani kwa Salma alijua kivyovyote atajua alipo akifika huko. Alipofika

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments