SEHEMU YA NANE* MADAM JOY NA MIMBA YA CEO MWANAFUNZI ❣️

SEHEMU YA NANE* MADAM JOY NA MIMBA YA CEO MWANAFUNZI ❣️

Niliguna tu nakujibu, amna mimi popote tu, lakini kwa nini unaniita, kabla sijamuuliza akanikatisha J naomba maswali binafsi tukaongelee tuendako sawa sukari yangu?.. Nilikausha tu, make najionea mauza uza tu, kichwa kilikuwa kinauma vibaya mno,tulifika mimi huku mgeni najionea vigeni tu, tulifika mpaka kwenye nyumba moja nzuri ni chumba kimoja na sebure self na kijiko lakini ni ndani ya geti, kila kitu kipo kasoro chakula tu, nilimuuliza mbona umechukua chumba kimoja? Alinitizama kwa muda mimi huo ujasili wakutizamana nae sina, kabla hajanijibu nikaondoka akanidaka mkono, J niachie nataka kuoga nilale nimechoka... " Na mimi nataka kuoga pia, sio mbaya tukaenda

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments