*SEKRETARI NANAH* SEHEMU YA 1️⃣5️⃣

*SEKRETARI NANAH*  SEHEMU YA   1️⃣5️⃣

Imeandikwa na Salma Rasheed Ramadhani Mawasiliano: 0763 595006 Kujiunga na Channel yangu ya WhatsApp : https://whatsapp.com/channel/0029Vb5TUYyG8l5677chYs0Y *ONYO* Hauruhusiwi kunakili simulizi, kufuta au kuongeza kitu chochote bila idhini yangu. KARIBU Nanah aliingia uwani kwake na kufumba macho yake huku akijitizama kwenye kioo kidogo. "Nimefanya nini mimi? Kwanini nimefanya hivyo? Ni kwaajili ya kumkomoa Brown au ni nini sasa? Bieber atanionaje? Nimejirahisisha sana kwake wallah". Nanah alibaki akijisikitikia alichokifanya na wakati huo Bieber alikuwa macho kitandani akitabasamu kwani alikuwa akimuona anachokifanya uwani. Aliinuka kutoka kitandani na kuvaa nguo zake kisha akaondoka na kwenda kwake. Nanah alitoka uwani baada ya nusu saa na

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments