
Mwanza.... Wiki moja tu baada ya kuludi nyumbani kutoka masomoni nikiwa nimemaliza elimu ya chuo nje ya nchi. Jioni moja mama yangu alikuja chumbani kwangu. Alinikuta nimejilaza kitandani nipo mbali kimawazo. Alikaa pembeni yangu na kunitazama usoni Kwa muda mrefu. Tayari mapenzi yalikuwa yashanuvuluga. Mpenzi wangu alikuwa kichomi balaaa yaani navyosema kichomi namaanisha ni muhuni. Hata sijui nilimpendea Nini nilijikuta tu nimempenda sana Jafari. Ni mwanaume wa kawaida tu, anayemiliki chumba kimoja Cha kupanga na humo ndani ya chumba hakuna chochote Cha maana zaidi ya kitanda Cha kawaida tu na godoro la kudumbukia. Sikujali kama mimi ni mtoto wa kishua,
0 Comments