SIMULIZI : NYOTA YANGU SEHEMU 06

SIMULIZI : NYOTA YANGU  SEHEMU 06

ENDELEA....... Tulisikia Ngoma zinapigwa na matarumbeta. "Mh! Kumekucha". Mama mkwe alisema hayo. "Ni nani huyo amekuja na Ngoma" mmoja wa ndugu aliuliza. "Bila shaka ni Samira". Najma alijibu na muda huo huo alitoka chumbani akiwa na furaha. Nilijiuliza Samira ndo nani maana nilikuwa simfahamu. Ndugu walitoka chumbani na kutuacha Mimi na Samir. Samir aliingia ndani na Ngoma zake pamoja na matarumbeta. Alikuja na mashoga zake na wapiga Ngoma na wapuliza matarumbeta. Walianza kukata mauno sio pouwa. Ndugu walibaki mdomo wazi. Ngoma zilipigwa Kwa fujo balaa hazikuwa Ngoma Tena Bali ni makelele Sasa. "Samira unafanya nini". Bibi yake aliongea Kwa ukali.

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments