SIMULIZI : NYOTA YANGU SEHEMU 10

SIMULIZI : NYOTA YANGU   SEHEMU 10

ENDELEA..... Nilimkalia Samir miguuni mwake alibaki ananishangaa tu. Tulitazamana Kwa sekunde kadhaa tulishtuka baada ya kusikia mlango unagongwa. Haraka niliinuka nikasimama. Niliusogelea mlango huku nikiwa nachechemea hapo Samir Alipata uhakika Sasa kuwa nimeumia mguu baada ya kuniangalia kwa umakini. Nilifungua mlango aliyekuwa anagonga ni Samira. "Karibu". Hakunijibu aliingia ndani ila safari hii hakunisukuma maana alijua kabisa na mie kichaa kuzidi yeye 😄. "Daddy!. Alimuita baba yake. Mie Bado nilikuwa nimesimama mlangoni. "Naam!, niambie?" "Baba nashida na pesa nimeishiwa". Samira aliyasema hayo Kwa sauti ya kuomba na sio kulazimisha kama awali. Samir aliniangalia mie Kwa kiulizo. Nilimpa ishara ampe tu maana

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments