USINITANGAZE 03 ❤❤

USINITANGAZE 03 ❤❤

ENDELEA.......... "Twende kwa mama yako!" "Kufanyeje tena wakati mimi nimekuja kujiuza nipate pesa ya kumpa mama!?" "Wewe nipeleke nikaongee naye!" Boke alikubali na kuongoza njia mpaka kwenye mgahawa wao na kumkuta Mama Boke akisaidizana Suzi kuwahudumia wateja. "Ndiyo huyu mama yako?" "Huoni tunafanana!" "Mmmh kwani kuna nini mbona sielewi? wewe Boke kuna kitu umefanya huko ulikokuwa?" "Hajafanya kitu ila njoo pembeni tuongee!" Mama Boke alikubali na kusogea naye pembezoni kidogo. Alichoka baada ya kupewa ukweli wa mwanae. "Kumbe ndiyo ujinga alioufanya huko?" "Unatakiwa uwe makini na malezi ya mwanao kama angekuwa mwingine angekuwa tayari ameshamchafua" "Nisamehe ila huyu mtoto!" "Kwani

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments