SINGLE MOTHER NA BUSU LA MJEDA* *1---2*

SINGLE MOTHER NA BUSU LA MJEDA* *1---2*

*______________________________________* *SEHEMU YA KWANZA* Nilitoka nje nikiwa na mawazo kweli, bahati mbaya nikamwagia mkaka maji,kwa sababu ya stress sikukumbuka ata kuomba samahani, nilivyotaka tu kurudi ndani, akaniita we dada, mimi naenda tu,akanifata na kunilamba mtama, ilikuwa ni ghafla tu, ndo nashtuka, nikainuka nakumweka banzi, kwa yeye mwenyewe akashangaa nimepata ujasiri gani mpaka nimempiga🙄, ile nataka kuongea nikawa nimecheki ivi chini kwa makini ni mjeda 🙆, niliishiwa ata nguvu, muda huo nimemlowanisha na maji ya ukoko... Alisema tu " naona unataka tupimane, amna kaka angu ni bahati mbaya tu mambo mengi, wala hata hakujibu, akanivua nilikuwa nimevaa khanga tu na tait,

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments