STORY YA SALMA WA MTAA WA SABA 🥥🥥 Sehemu ya Pili ( 2 )

STORY YA SALMA WA MTAA WA SABA 🥥🥥 Sehemu ya Pili  (  2  )

@Kila Mtu 🥥🥥🥥🥥🥥🥥🥥🥥🥥🥥🥥🥥🥥🥥🥥🥥 Fariss alishusha pumzi huku mikono yake ikiwa kichwani . " Meyael yule msichana amechukua simu yangu. " Hahahaha.... " Unacheka? " Sicheki kwa mazuri ila Salma wa mtaa wa saba kakuweza kakugeuza mtaji. " Hivi huyu ni mwanamke gani ? Kila tabia za ajabu anazo yeye . Sijawahi kukutana na mtu mwenye ulimi mkali kama yule, nadhani hata Kibaka wa Tandale hawezi kunizidi ujanja kiasi hiki. " Lakini bro ukweli ni kwamba yule dada ni kichwa ana conference ya hali ya juu. Hata mimi nimemuogopa aisee. Fariss alitulia huku akiwa anatafakari jambo Meyael akauliza. " Sasa tunafanya

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments