USINITANGAZE 02 ❤❤

USINITANGAZE 02 ❤❤

ENDELEA.......... "Karibu mtoto nikusaidie nini!?" "Nipe ile ya kuzuia mi...mba!" "Nini!?" "Sijui ni nini ila kwenye lile duka wanaiuza!" "Heeee wewe mtoto!" Binti alitoka dukani na kwenda mpaka kwenye duka alilotoka Boke. "Isa mambo!" "Poa nambie!" "Yule mtoto mbona simwelewi!" "Mtoto yupi!?" "Yule pale!" Isa aliangalia alipooneshwa na kumuona Boke. "Kumbe hako!" "Eeeeh kamekuja dukani kwangu kanataka nikape ya kuzuia mi..mba na kameniambia hapa unauza sasa sijajua ni nini hicho" "Achana nako tu!" "kwanini!?" Isa alimpa mkasa mzima ulivyokuwa na binti aliyatoa macho baada ya kusikia kuwa Boke anataka kununua ndo..mu na baada ya kuambiwa alirudi mpaka dukani kwake na

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments