
Mlango ukafunguliwa tena na mtu akaingia "Yupo bwana," kijana mmoja alisema na LINDA akamdhihaki Bwana?Je, yeye ni mungu au ? "Wow angalia jinsi alivyo mzima" Sauti hiyo, haikuwa ngeni masikion kwa linda . Hata akiwa usingizini, ataitambua sauti hiyo kila wakati. "mungu tafadhali usiruhusu kuwa kile ninachofikiria, akawaza linda ........ Mtu yule akaondoa kinyago chake na Linda akashtuka. "Mjomba....Sc...Scar" alisema. Jinamizi langu mbaya zaidi mjomba oScar? "Kwa hiyo yeye ndiye alikuwa mpangaji wa takataka hizi zote? Akawaza linda mara akasikia sauti nyuma yake ya kulalamika ikisema "Humph...bwana mguu wangu "Ulimfanya nini?" Aliuliza huku akimuonyesha Linda yule mtu aliyempiga teke la
0 Comments