WAKILI HUCHOKI JAMANI sehemu ya 15

WAKILI HUCHOKI JAMANI sehemu ya 15

Siku ilipita vizuri, kesho yake Albert aliondoka, na kuniachia pesa ya matumizi na kuomba nimjulishe wakati wa kurudi aniijie,nilikubali akamuachia na bibi laki 2 , kisha akasepa, bibi alifurahi akasema mama ako saiv ata weka wapi sura yake? Nikacheka nakuanza kumsimulia siku ya mahali ilivyokuwa, tulicheka wenyewe, upande wa Albert alirudi na kuacha gari mahali , kisha akarudi dar, alifika akakuta kwao kuna kelele yule demu wake kaja anadai anamimba yake, Albert alikataa nakumwambia nilikwambia mimi tayari nina mtu wangu, na siku zote nilikuwa na tumia kinga na wewe hio mimba imeingilia wapi, " Albert ni kweli ulisema hivyo lakini

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments