MUME WANGU ALIVYONIOLEA MKE WA PİLİ SEHEMU YA : 05 Nilishindwa ata kuitikia nilibaki nikimuangalia dokta utazani namfananisha vile

MUME WANGU ALIVYONIOLEA MKE WA PİLİ  SEHEMU YA : 05  Nilishindwa ata kuitikia nilibaki nikimuangalia dokta utazani namfananisha vile

. Basi nikapokea maelezo kadhaa pale kisha huyo nikatoka nje, ile natoka tu uso kwa uso na Yule bff wangu Yaani Neha. “Nilikuwa nakusubilia ili tubadilishane Namba niondoke mwaya mume wangu ameshamalizana na matibabu yake“ Basi tukabadilishana Namba pale kisha kila mtu Akashika njia zake, Kwa upande wangu moja kWa moja nikaenda Nyumbani kwetu Yaani kwa wazazi wangu. “Mbona Kama hauko Sawa ??” Mama yangu aliniuliza pale Tu nilipofika Nyumbani. “Twende chumbani mama tukazungumze kitu “ Nilimwambia mama yangu na pasi na kupoteza muda tukaenda chumbani, Yaani kwenye chumba ambacho nilikuwa nikikaaga mwanzo. “Kuna shida gani ujue unanipa wasiwasi sana

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments