🎙️ WALIMWOZESHA NA CHIZI KUMBE NI TAJIRI! (Part 3)

🎙️ WALIMWOZESHA NA CHIZI KUMBE NI TAJIRI! (Part 3)

ILIPOISHIA..., nimekuwa nikikuchunguza muda mrefu Sana toka nilipotoka mjini, maana niliwaambia familia yangu wanitafutie mke mwenye utu, heshima na upendo, wakanitajia wewe, na nimefanya hivi makusudi tu ili nipime yaliyosemwa, Lakini, nimegundua,wewe ni mtu wa pekee sana katika hii dunia ya leo, kwahiyo, hapa tunaelekea mjiniii, toa hofu kabisa ". Maneno hayo, yalimfanya Turi akapata nguvu mpya, ingawa hakujua hali harisi ya maisha ya kijana huyo, ila, kujitambua tu kwa Kijana huyo ilikuwa tosha kwa Turi, maana, swali alilokuwa akijiuliza sana Turi ni kwamba angeishije na Kijana huyo, ambaye Kila mtu kijijini anamjua kama ni chizi!. Waliongozana mpaka nyumbani kwa

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments