
ILIPOISHIA..., Amani, Turi pamoja na mshenga, wakakaa kwenye viti vilivyoletwa na Vero. Na Baada ya kukaa ,mshenga akasema, " mama, Sisi hatuna muda Sana hapa, ila tumekuja kuleta kidogo ambacho kijana wetu amebarikiwa nacho, nadhani yeye mwenyewe atasema mengi". Kisha mshenga akatoa bahasha iliyotuna kweli kweli!, na kumkabidhi mama Vero, kisha mshenga akamalizia kwa kusema, " hii ni kama shukrani ya muoaji kwako, kwa malezi na kumkuza binti yako mpaka alipofika". Mama Vero karibia kidogo aanguke chini!, kutokana na bashasha na hamu ya kutaka kujua kilichokuwa ndani ya bahasha hiyo, huku akitetemeka mikono ,akapokea bahasha na kuifungua, ghafla!, Mama Vero
0 Comments