
ILIPOISHIA..., Lakini hata hiyo, Vero alikua msichana mwenye moyo wa huruma kidogo ukilinganisha na mama yake ambaye alizidi ugaidi!, Vero akawmambia mama yake kwamba, "ila mama!, unaonaje tukiachana tu na dada Turi, maana , sasahivi tumepata pesa, tukaanza hata biashara ya mama nitilie, kuriko kumfuatilia mtu ambaye Kila kukicha mungu anambariki yeye tu!?". ila maneno hayo yaliyojawa na busara na ukomavu wa fikra kutoka kwa Vero, yalionekana kama takataka tu mbele ya Mama Vero!, maana alimshushia Vero maneno yasiyo ya kawaida kana kwamba hakumzaa yeye mwenyewe! , " na wewe mwendawazimu mkubwa nisikilize kwa makini , sijui umetoroka uchawini wewe,
0 Comments