
Mwenzenu yamenikuta leo, mimi ni mhudumu wa ndege, hii kazi niliipambania mno, ili tu nimkwepe mama angu aliekuwa anataka kuniozesha, kisa anaona siolewi kila siku yeye anachangia watu, anataka na yeye afanye shughuri na hana mtoto mwingine zaidi yangu, nikaona niache biashara yangu ya mitumba nitafute ajira niliyosomea ili nisiwe na onana nae mara kwa mara, nilipata kazi na hii ilikuwa ruti yangu ya kwanza, lakini haikuchukua muda tukarudi tena, ni kama wiki tatu tu, nikaona ni bora nichukue room nisiende kwanza nyumbani, kwa kuwa hapa tutakuwa na siku tatu tu, ya nne tunaondoka, nitaenda nyumbani awam nyingine, nilichukua chumba
0 Comments